Waziri Dkt. Kijaji na Wajumbe wa Tanzania watembelea Kituo cha Soko la Kaboni cha Ghana

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wake kutoka Tanzania na wenyeji wao wa Kituo cha Masoko ya Kaboni cha Ghana mjini Accra leo tarehe 23 July 2024

Related Posts