News and Events

Category

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema ni wakati sasa umefika kwa Mataifa yanayoendelea kuchukua hatua katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ametoa kauli hiyo leo Novemba 16, 2024 wakati akizungumza na Watanzania wanaoshiriki katika Mkutano wa 29 wa Nchi...
Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema mazingira ni suala mtambuka hivyo ni wajibu wa kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kuyahifadhi. Mhandisi Luhemeja amesema hayo wakati akizungumza na Watanzania wanaoshiriki Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa...
Read More
1 3 4 5 6 7 335