News and Events

Category

Tanzania imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea kuwekeza katika mifumo ya tahadhali za mapema -early warning systems kwa kutumia vyanzo vya ndani, kushirikisha jamii na sekta...
Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameshiriki Mkutano wa Mashauriano wa Mawaziri wa Mazingira wa Afrika (AMCEN) leo Novemba 17, 2024. Mkutano huo ni wa pembezoni mwa Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa (COP29) unaoendelea jijini Baku, Azerbaijan. Katika mkutano...
Read More
1 2 3 4 5 334