Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameshiriki Mkutano wa Mashauriano wa Mawaziri wa Mazingira wa Afrika (AMCEN) leo Novemba 17, 2024. Mkutano huo ni wa pembezoni mwa Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa (COP29) unaoendelea jijini Baku, Azerbaijan. Katika mkutano...Read More
Building Climate Resilience in Kigoma Region The Vice President’s Office, in collaboration with the United Nations Environment Programme (UNEP), the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR), the Kigoma Regional Secretariat, the National Environmental Management Council (NEMC), and the Tanzania Forest Services (TFS), is launching the “Building Climate Resilience in Kigoma Region” project. This project...Read More