Mkutano wa 29 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) umeendelea kuiletea manufaa Tanzania hususan katika hifadhi ya mazingira. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga wakati akizungumza mara baada ya kutembelea banda la Jamhuri ya Muungan waTanzania...Read More
Tanzania imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea kuwekeza katika mifumo ya tahadhali za mapema -early warning systems kwa kutumia vyanzo vya ndani, kushirikisha jamii na sekta...Read More