News and Events

Category

Tanzania imeahidiwa jumla ya Dola za Marekani milioni 782.2, Euro milioni 26, na Dola za Canada milioni 2 kutoka kwa washirika wa maendeleo duniani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi na kuongeza ustahimilivu wa sekta mbalimbali. Hayo yamebainishwa leo Novemba 29, 2024 na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu...
Read More
Tanzania inatarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 13 kwa ajili ya kuongeza wigo wa utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Halmashauri 15 zaidi kupitia Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji na Maendeleo (UNCDF). Hayo yamebainika wakati wa Mkutano Uwili baina ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa...
Read More
1 21 22 23 24 25 356