Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar leo Desemba 10, 2024. Katika sehemu ya hotuba yake Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri...Read More
Tanzania imekabidhi mapendekezo ya maandiko ya mradi 3, kwa ajili ya kuombea fedha kutoka katika Mfuko wa Hasara na Upotevu unaosababishwa na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Hayo yamejiri wakati Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme alipokutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Hasara na Upotevu...Read More