News and Events

Category

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni ameahidi kusimamia utekelezaji wa katazo la kisheria la matumizi ya mifuko ya plastiki, usimamizi wa biashara ya kaboni ili kuongeza msukumo wa sekta hifadhi ya mazingira nchini. Mhe. Mhandisi Masauni amesema hayo leo Desemba 13, 2024 wakati wa hafla...
Read More
Serikali imeendelea kuhamasisha jamii juu ya biashara ya kaboni ikiwa sehemu ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi katika kuhimiza uelewa na ushiriki wa biashara hiyo katika sekta na miradi mbalimbali ya maendeleo. Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akizungungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Washauri...
Read More
1 16 17 18 19 20 355