Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amesema Serikali imeyapokea na inaendelea kuyafanyia kazi mapendekezo matatu ya mabadiliko ya Sheria ya Mazingira sura 191. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni kanuni ya kulifanya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuwa Mamlaka, umuhimu wa...Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amezindua Mradi wa Suluhisha ‘RESOLVE’ ambao unalenga katika utunzaji wa vyanzo vya maji, misitu na maeneo yanayohusika na shughuli za kilimo. Mradi huo unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Hifadhi ya Mazingira utatekeleza katika mikoa ya Morogoro na Iringa...Read More