Paulo Lyimo

By

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekielekeza Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) mkoani Morogoro kusaidia taifa kutokana na miradi mbalimbali ambayo mataifa ya nje yanakuja kuwekeza nchini kupitia Biashara ya Kaboni. Amesema NCMC itumie wataalamu wake kwa kadili inavyoweza kutoa elimu kwa...
Read More
Wilaya ya Kilosa inatarajia kuvuna mapato ya Sh1.17 bilioni kama gawio baada ya kuhifadhi misitu iliyowezasha uvunaji wa tani za ujazo 545,433 za hewa ya ukaa (kaboni) katika misitu ya vijiji vyake katika kipindi cha 2023 mpaka February 2024.Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa Wizara ya Muungano na Mazingira, Tanzania inalenga kuingiza dola za Marekani bilioni...
Read More
1 3 4 5 6 7 355