Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepongeza Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ubunifu mkubwa unaobeba uhalisia katika utekelezaji wa majukumu yake. Pongezi hizo zimetolewa leo Machi 18, 2025 Bungeni Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Mhagama wakati akipokea taarifa ya...Read More