Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa Mwaka 2024, leo Februari 12, 2025 bungeni jijini Dodoma baada ya kufanyia marekebisho kadhaa kutoka katika mapendekezo ya Serikali. Akiwasilisha maelezo ya muswada huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)...Read More
Serikali imesema jumla ya taasisi 551 zimeanza matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ikiwa ni katika jitihada za kuunga mkono Serikali kupunguza ukataji miti na kulinda afya za wananchi. Hatua hiyo, ni katika utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi za Umma na...Read More