February 11, 2025

Day

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea na dhamira yake ya kushiriki katika kutekeleza Ajenda ya Maendeleo ya Afrika 2063 kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sekta mbalimbali kama vile Miundombinu ya Usafirishaji, Nishati, Kilimo, Viwanda, TEHAMA, Uhifadhi wa Mazingira pamoja na maendeleo ya Rasilimali watu. Makamu...
Read More