February 7, 2025

Day

Wilaya ya Kilosa inatarajia kuvuna mapato ya Sh1.17 bilioni kama gawio baada ya kuhifadhi misitu iliyowezasha uvunaji wa tani za ujazo 545,433 za hewa ya ukaa (kaboni) katika misitu ya vijiji vyake katika kipindi cha 2023 mpaka February 2024.Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa Wizara ya Muungano na Mazingira, Tanzania inalenga kuingiza dola za Marekani bilioni...
Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amesema Serikali imeyapokea na inaendelea kuyafanyia kazi mapendekezo matatu ya mabadiliko ya Sheria ya Mazingira sura 191. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni kanuni ya kulifanya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuwa Mamlaka, umuhimu wa...
Read More