December 13, 2024

Day

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni ameahidi kusimamia utekelezaji wa katazo la kisheria la matumizi ya mifuko ya plastiki, usimamizi wa biashara ya kaboni ili kuongeza msukumo wa sekta hifadhi ya mazingira nchini. Mhe. Mhandisi Masauni amesema hayo leo Desemba 13, 2024 wakati wa hafla...
Read More
1 2