December 10, 2024

Day

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar leo Desemba 10, 2024. Katika sehemu ya hotuba yake Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri...
Read More