Tanzania imekabidhi mapendekezo ya maandiko ya mradi 3, kwa ajili ya kuombea fedha kutoka katika Mfuko wa Hasara na Upotevu unaosababishwa na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Hayo yamejiri wakati Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme alipokutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Hasara na Upotevu...Read More