November 29, 2024

Day

Tanzania imeahidiwa jumla ya Dola za Marekani milioni 782.2, Euro milioni 26, na Dola za Canada milioni 2 kutoka kwa washirika wa maendeleo duniani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi na kuongeza ustahimilivu wa sekta mbalimbali. Hayo yamebainishwa leo Novemba 29, 2024 na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu...
Read More