November 17, 2024

Day

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amehimiza mataifa yaliyoendelea kuunga mkono juhudi za nchi zinazoendelea ili ziweze kutekeleza kikamilifu agenda ya matumizi ya nishati safi ya kupikia. Ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Viongozi wa masuala ya Nishati Safi ya Kupikia uliofanyika pembezoni mwa...
Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Ashatu Kijaji amekutana na Bw. Jules Kortenhorst, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bridge Carbon ya nchini Marekani ambayo imewekeza Tanzania kwenye miradi ya Kaboni kupitia nishati safi ya kupikia na “Nature Based Solution”. Mheshimiwa Waziri ameipongea Kampuni hiyo kwa uwekezaji wake na pia alimuhahakikishia Bw. Jules...
Read More
1 2