September 11, 2024

Day

Mikoa minne ya Tanzania Bara inatarajia kunufaika na mradi wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao utasaidia katika kupunguza matumzi ya kuni na mkaa yanayotokana na ukataji wa miti. Hayo yamebainishwa wakati wa kikao kazi kinacholenga kuanzisha mradi wa matumizi ya nisharti safi ya kupikia shuleni kilichoongozwa na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu...
Read More