July 9, 2024

Day

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amezitaka taasisi za elimu ya juu nchini kuandaa na kuzalisha wataalamu watakaosaidia kubuni na kubaini fursa zitokanazo na uhifadhi wa mazingira ikiwemo biashara ya kaboni. Dkt. Kijaji amesema hayo leo Julai 9, 2024 mkoani Morogoro wakati wa ziara yake ya...
Read More